Kumbukumbu la Sheria 13:17
Kumbukumbu la Sheria 13:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Msichukue kitu chochote kilichotolewa kiteketezwe, ili Mwenyezi-Mungu aache ile hasira yake kali, awaoneshe rehema na huruma, na kuwafanya muwe wengi sana kama alivyowaahidi babu zenu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13Kumbukumbu la Sheria 13:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisishikamane na mkono wako kitu chochote katika kitu kilichoharimishwa; ili ageuke BWANA na ukali wa hasira zake akurehemu, akuonee huruma, na kukufanya kuwa wengi, kama alivyowaapia baba zako
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13Kumbukumbu la Sheria 13:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisishikamane na mkono wako kitu cho chote katika kitu kilichoharimishwa; ili ageuke BWANA na ukali wa hasira zake akurehemu, akuonee huruma, na kukufanya kuwa wengi, kama alivyowaapia baba zako
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13