Kumbukumbu la Sheria 11:19
Kumbukumbu la Sheria 11:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayo wafunzeni watoto wenu kwa kuyazungumza uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11Kumbukumbu la Sheria 11:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Wafundisheni watoto wenu maneno haya mkiyazungumzia mketipo katika nyumba zenu, mnapotembea, mnapolala na mnapoamka.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11