Kumbukumbu la Sheria 11:18
Kumbukumbu la Sheria 11:18 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yawekeni maneno yangu haya mioyoni mwenu na rohoni mwenu. Yafungeni mikononi mwenu kama alama na kuyavaa katika paji la uso.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11Kumbukumbu la Sheria 11:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo yawekeni maneno yangu mioyoni mwenu na rohoni mwenu; yafungeni yawe dalili juu ya mikono yenu, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11