Kumbukumbu la Sheria 11:1
Kumbukumbu la Sheria 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11Kumbukumbu la Sheria 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili hii mpende BWANA, Mungu wako, na kushika sikuzote mausia yake, na amri zake, na hukumu zake, na maagizo yake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 11