Danieli 9:4
Danieli 9:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, na kuungama, nikisema: “Ee Bwana, wewe ni Mungu mkuu na wa kuogofya. Wewe ni mwaminifu kwa agano lako na unawafadhili wakupendao na kuzitii amri zako.
Shirikisha
Soma Danieli 9Danieli 9:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikamwomba BWANA, Mungu wangu, nikaungama, nikasema, Ee Bwana, Mungu mkuu, mwenye kutisha, ashikaye maagano na rehema kwao wampendao, na kuzishika amri zake
Shirikisha
Soma Danieli 9