Danieli 7:6
Danieli 7:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.
Shirikisha
Soma Danieli 7Danieli 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Baada ya hayo, nilimwona mnyama mwingine. Huyu alikuwa kama chui mwenye mabawa manne ya ndege mgongoni mwake. Alikuwa na vichwa vinne na alipewa mamlaka.
Shirikisha
Soma Danieli 7