Danieli 4:37
Danieli 4:37 Biblia Habari Njema (BHN)
“Na sasa, mimi Nebukadneza ninamsifu na kumtukuza na kumheshimu mfalme wa mbinguni. Maana matendo yake yote ni ya haki, naye huwashusha wenye kiburi.”
Shirikisha
Soma Danieli 4Danieli 4:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mimi, Nebukadneza, namhimidi Mfalme wa mbinguni, namtukuza na kumheshimu; maana matendo yake yote ni kweli, na njia zake ni za adili; na wale waendao kwa kutakabari, yeye aweza kuwadhili.
Shirikisha
Soma Danieli 4