Danieli 3:25
Danieli 3:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akauliza, “Lakini sasa mbona ninaona watu wanne wakitembeatembea humo motoni bila kufungwa na wala hawadhuriki, na mtu wa nne anaonekana kama mwana wa miungu?”
Shirikisha
Soma Danieli 3Danieli 3:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajibu, akasema, Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu.
Shirikisha
Soma Danieli 3