Danieli 12:2
Danieli 12:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Wengi wa wale ambao wamekwisha kufa, watafufuka; wengine watapata uhai wa milele, na wengine watapata uhai na kudharauliwa milele.
Shirikisha
Soma Danieli 12Danieli 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, wengi wa hao wanaolala katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele.
Shirikisha
Soma Danieli 12