Danieli 10:3
Danieli 10:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikula chakula cha fahari, sikugusa nyama wala divai, na sikujipaka mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu.
Shirikisha
Soma Danieli 10Danieli 10:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta kabisa, hata majuma matatu kamili yalipotimia.
Shirikisha
Soma Danieli 10