Wakolosai 3:15
Wakolosai 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Nayo amani ya Kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo nyinyi mmeitwa katika mwili huo mmoja. Tena muwe na shukrani!
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3