Wakolosai 2:6-7
Wakolosai 2:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Maadamu nyinyi mmemkubali Kristo Yesu aliye Bwana, basi, ishini katika muungano naye. Muwe na mizizi ndani yake, mjijenge juu yake na kuwa imara katika imani kama mlivyofundishwa. Muwe na shukrani tele.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, ishini vivyo hivyo katika yeye; wenye shina na wenye kujengwa katika yeye; mmefanywa imara kwa imani, kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukrani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye; wenye shina na wenye kujengwa katika yeye; mmefanywa imara kwa imani, kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukrani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2