Wakolosai 2:15
Wakolosai 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Huko Kristo aliwapokonya nguvu zao hao pepo watawala na wakuu; aliwafanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuwaburuta kama mateka katika msafara wa ushindi wake.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuziaibisha hadharani, akiziongoza kwa ushindi wake wa shangwe.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2