Wakolosai 1:24
Wakolosai 1:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Na sasa nafurahi kuteseka kwa ajili yenu, maana kwa mateso yangu hapa duniani, nasaidia kukamilisha kile kilichopungua bado katika mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, yaani kanisa.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu; tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake
Shirikisha
Soma Wakolosai 1