Wakolosai 1:13
Wakolosai 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alituokoa kutoka kwa nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake
Shirikisha
Soma Wakolosai 1