Wakolosai 1:11
Wakolosai 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu awajalieni nguvu kwa uwezo wake mtukufu ili muweze kustahimili kila kitu kwa uvumilivu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkiwezeshwa kwa uwezo wote, kwa kadiri ya nguvu ya utukufu wake, mpate kuwa na subira ya kila namna na uvumilivu pamoja na furaha
Shirikisha
Soma Wakolosai 1