Amosi 8:11
Amosi 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana Mwenyezi-Mungu asema, “Siku zaja ambapo nitaleta njaa nchini. Lakini sio njaa na kiu ya chakula na maji, bali njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Amosi 8Amosi 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA.
Shirikisha
Soma Amosi 8