Amosi 6:6
Amosi 6:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa, na mnajipaka mafuta mazuri, lakini hamhuzuniki kwa maangamizi ya Yosefu.
Shirikisha
Soma Amosi 6Amosi 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnakunywa divai kwa mabakuli, na kujipaka marashi mazuri mno. Lakini hamhuzuniki hata kidogo juu ya kuangamia kwa wazawa wa Yosefu.
Shirikisha
Soma Amosi 6