Amosi 5:18
Amosi 5:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga!
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwa nini kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru.
Shirikisha
Soma Amosi 5