Amosi 5:14
Amosi 5:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema.
Shirikisha
Soma Amosi 5