Amosi 5:12
Amosi 5:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana mimi najua wingi wa makosa yenu na ukubwa wa dhambi zenu; nyinyi mnawatesa watu wema, mnapokea rushwa na kuzuia fukara wasipate haki mahakamani.
Shirikisha
Soma Amosi 5Amosi 5:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mimi najua jinsi maasi yenu yalivyo mengi, na jinsi dhambi zenu zilivyo kubwa; ninyi mnaowaonea wenye haki, mnaopokea rushwa, na kuwageuza wahitaji langoni wasipate haki yao.
Shirikisha
Soma Amosi 5