Amosi 4:6
Amosi 4:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Niliwapa njaa kwenye kila mji, na ukosefu wa chakula katika kila mji, hata hivyo bado hamjanirudia mimi,” asema BWANA.
Shirikisha
Soma Amosi 4Amosi 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi niliwanyima chochote cha kutafuna, nikasababisha ukosefu wa chakula popote. Hata hivyo hamkunirudia. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Amosi 4