Amosi 4:3
Amosi 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtaburutwa hadi ukutani palipobomolewa, na kutupwa nje. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Amosi 4Amosi 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtatoka kwenye mahali palipobomolewa, kila mwanamke moja kwa moja mbele yake; nanyi mtajitupa katika Harmoni, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Amosi 4