Amosi 1:3
Amosi 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Watu wa Damasko wametenda dhambi tena na tena; kwa hiyo, sitaacha kuwaadhibu; waliwatendea watu wa Gileadi ukatili mbaya.
Shirikisha
Soma Amosi 1Amosi 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Dameski, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wameipura Gileadi kwa vyombo vya kupuria vya chuma
Shirikisha
Soma Amosi 1