Matendo 7:51
Matendo 7:51 Biblia Habari Njema (BHN)
“Enyi wakaidi wakuu! Mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. Nyinyi ni kama babu zenu. Siku zote mnampinga Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Matendo 7Matendo 7:51 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya, na ninyi ni vivyo hivyo.
Shirikisha
Soma Matendo 7