Matendo 7:34
Matendo 7:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeyaona mabaya wanayotendewa watu wangu kule Misri. Nimesikia kilio chao, nami nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.’
Shirikisha
Soma Matendo 7Matendo 7:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakika nimeona mateso ya watu wangu waliomo Misri, nimesikia kuugua kwao, nami nimeshuka niwatoe. Basi sasa, nitakutuma mpaka Misri.
Shirikisha
Soma Matendo 7