Matendo 6:15
Matendo 6:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Wote waliokuwa katika kile kikao cha Baraza walimkodolea macho Stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.
Shirikisha
Soma Matendo 6Matendo 6:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wote walioketi katika ile baraza wakamkazia macho yao, wakamwona uso wake kuwa kama uso wa malaika.
Shirikisha
Soma Matendo 6