Matendo 5:38
Matendo 5:38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa
Shirikisha
Soma Matendo 5Matendo 5:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 5