Matendo 4:5-6
Matendo 4:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu. Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kesho yake, wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu, na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.
Shirikisha
Soma Matendo 4