Matendo 4:32
Matendo 4:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Jumuiya yote ya waumini ilikuwa na moyo mmoja na roho moja. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na kitu chochote akakiweka kuwa mali yake binafsi, ila waligawana vyote walivyokuwa navyo.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na jamii ya watu walioamini walikuwa na moyo mmoja na roho moja; wala hapana mmoja aliyesema ya kuwa kitu chochote alicho nacho ni mali yake mwenyewe; bali walimiliki vitu vyote kwa pamoja.
Shirikisha
Soma Matendo 4