Matendo 4:31
Matendo 4:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipomaliza kusali, pale mahali walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, nao wote wakajazwa Roho Mtakatifu. Wote wakaanza kuhubiri neno la Mungu bila woga.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata walipokwisha kumwomba Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata walipokwisha kumwomba Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.
Shirikisha
Soma Matendo 4