Matendo 4:16
Matendo 4:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakaulizana, “Tufanye nini na watu hawa? Kila mtu anayeishi Yerusalemu anajua kwamba muujiza huu wa ajabu umefanyika, nasi hatuwezi kukana jambo hilo.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakisema, Tuwafanyie nini watu hawa? Maana ni dhahiri kwa watu wote wakaao Yerusalemu ya kwamba ishara mashuhuri imefanywa nao, wala hatuwezi kuikana.
Shirikisha
Soma Matendo 4