Matendo 27:22
Matendo 27:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa nawapeni shauri, iweni na moyo mkuu, kwa maana hapana hata nafsi mmoja miongoni mwenu atakayepotea, ila merikebu tu.
Shirikisha
Soma Matendo 27