Matendo 26:15
Matendo 26:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nikauliza: ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye Bwana akajibu: ‘Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.
Shirikisha
Soma Matendo 26Matendo 26:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikasema, Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi.
Shirikisha
Soma Matendo 26