Matendo 23:11
Matendo 23:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiku uliofuata, Bwana alisimama karibu na Paulo, akamwambia, “Jipe moyo! Umenishuhudia hapa Yerusalemu, utafanya vivyo hivyo mjini Roma.”
Shirikisha
Soma Matendo 23Matendo 23:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako.
Shirikisha
Soma Matendo 23