Matendo 20:28
Matendo 20:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka nyinyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 20