Matendo 2:43-44
Matendo 2:43-44 Biblia Habari Njema (BHN)
Miujiza na maajabu mengi yalifanyika kwa njia ya mitume hata kila mtu akajawa na hofu. Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:43-44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume. Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote kishirika
Shirikisha
Soma Matendo 2