Matendo 2:42
Matendo 2:42 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawa wote waliendelea kujifunza kutoka kwa mitume, kuishi pamoja kindugu, kumega mkate na kusali.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:42 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.
Shirikisha
Soma Matendo 2