Matendo 2:24
Matendo 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, akamwokoa katika maumivu ya kifo kwa maana haingewezekana kabisa kifo kimfunge.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.
Shirikisha
Soma Matendo 2