Matendo 2:20
Matendo 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kutokea ile siku kuu na tukufu ya Bwana.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja ile siku ya Bwana iliyo kuu na iliyo dhahiri.
Shirikisha
Soma Matendo 2