Matendo 2:2
Matendo 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghafla, sauti ikasikika kutoka angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikaijaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kukaja ghafla toka mbinguni sauti kama mvumo wa upepo mkali ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.
Shirikisha
Soma Matendo 2