Matendo 19:6
Matendo 19:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.
Shirikisha
Soma Matendo 19