Matendo 17:6
Matendo 17:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini hawakuwapata na hivyo walimburuta Yasoni pamoja na ndugu wengine mpaka kwa wakuu wa mji, wakapiga kelele: “Watu hawa wamekuwa wakivuruga dunia yote na sasa wako hapa mjini.
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na walipowakosa, wakamkokota Yasoni na baadhi ya ndugu mbele ya wakubwa wa mji, wakipiga kelele, wakisema, Watu hawa walioupindua ulimwengu wamefika huku nako
Shirikisha
Soma Matendo 17