Matendo 17:27
Matendo 17:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Alifanya hivyo, ili mataifa hayo yapate kumfuata, na kama vile kwa kupapasapapasa, yapate kumfikia. Hata hivyo lakini, Mungu hayuko mbali na kila mmoja wetu.
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasapapasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.
Shirikisha
Soma Matendo 17