Matendo 17:26
Matendo 17:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na mtu mmoja aliumba mataifa yote na kuyawezesha kuishi duniani kote. Aliamua na kupanga kabla kabisa lini na wapi mataifa hayo yangeishi.
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao
Shirikisha
Soma Matendo 17