Matendo 17:24
Matendo 17:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu, aliyeumba ulimwengu na vyote vilivyomo, ni Bwana wa mbingu na dunia; yeye hakai katika hekalu zilizojengwa na watu.
Shirikisha
Soma Matendo 17