Matendo 15:36
Matendo 15:36 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Baada ya siku kadha wa kadha Paulo akamwambia Barnaba, Haya! Mrejee sasa tukawaangalie hao ndugu katika kila mji tulipolihubiri neno la Bwana, wa hali gani.
Shirikisha
Soma Matendo 15Matendo 15:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la Bwana, tukajionee jinsi wanavyoendelea.”
Shirikisha
Soma Matendo 15