Matendo 14:3
Matendo 14:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Paulo na Barnaba waliendelea kukaa huko kwa muda mrefu. Waliongea kwa uhodari juu ya Bwana, naye Bwana akathibitisha ukweli wa ujumbe walioutoa juu ya neema yake, kwa kuwawezesha kutenda miujiza na maajabu.
Shirikisha
Soma Matendo 14Matendo 14:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wakakaa huko wakati mwingi, wakinena kwa ushujaa katika Bwana, aliyelishuhudia neno la neema yake, akiwajalia ishara na maajabu yatendeke kwa mikono yao.
Shirikisha
Soma Matendo 14