Matendo 11:26
Matendo 11:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Alipompata, alimleta Antiokia. Nao wote wawili walikaa na ile jumuiya ya kanisa kwa mwaka wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. Huko Antiokia, ndiko kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo.
Shirikisha
Soma Matendo 11Matendo 11:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
Shirikisha
Soma Matendo 11