Matendo 1:9
Matendo 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kusema hayo, wote wakiwa wanamtazama, alichukuliwa mbinguni; wingu likamficha wasimwone tena.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akiisha kusema hayo, walipokuwa wakitazama, akainuliwa, wingu likampokea kutoka machoni pao.
Shirikisha
Soma Matendo 1